Usikimbilie kupenda ikiwa unajua huna upendo wa kutoa. Ukosefu wa mapenzi ni ugonjwa. Kwa hivyo ikiwa haujui kupenda - jiambie kuwa wewe ni mgonjwa. Na kwamba unapaswa kwenda kwa ajili ya matibabu.
Kwa, CMK
© 2020 KONGOLISOLO. Haki zote zimehifadhiwa.